Msaada kuhusu crdb mobile

Msaada kuhusu crdb mobile

hendeboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
218
Reaction score
21
Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya kujiunga na crdb simbankig
kwa njia ya simu
 
Piga *150*03 chagua kujisajili alafu ingizanamba zilizopo kwenye kadi yako zilizo andika na maandishi makubwa then password ya kad yako then itakuletea ku create pasword ya cm benking.fuata hayo maelezo utafanikiwa.
 
piga *150*03 chagua kujisajili alafu ingizanamba zilizopo kwenye kadi yako zilizo andika na maandishi makubwa then password ya kad yako then itakuletea ku create pasword ya cm benking.fuata hayo maelezo utafanikiwa.

nimejaribu but mwishoni inasema wrong pasword
 
Shukrani mkuu Kilahiro hata mie sikuwa najua. Unaweza kufahamu makato yake kwa kila transaction. Mf. Kuhamisha pesa toka Simu kwenda bank and vice versa?? Kucheck balance ect???
 
Last edited by a moderator:
Kuchek balance 200 kuhamisha kwenda tiGO pesa 1000. Kuhamisha kwa card less siko sure kiasi gani.
 
In order to access SIM BANKING(CRDB), for the first time you must visit the CRBD branch near you. You will have to fill in the certain form. After that you can access the service within 24 hours after the notification in your mobile phone.
 
Nenda tawi lolote CRDB watakupatia form uijaze kwanza

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
nimejaribu but mwishoni inasema wrong pasword

Kumbuka ukiombwa kujaza kwenye ukomo wa kadi...utaandika namba kama zilivyo bila kuweka nafasi au alama ya / kama ilivyoandikwa katika kadi yako..
mfano katika kadi inaonyesha tarehe ya ukomo ni 03/16...utatakiwa kundika 0316
Kama kadi ya ni VISA, tarehe ya ukomo utakutana na neno EXPIRES END 03/16
MASTER CARD utakuta neno VALID THRU 03/16.
Pia kama akaunti yako ina herufi ya J..weka moja(tarakimu)...1 inasimama badala ya J.
...password ya ATM iwe tofauti na utakayotaka kutumia katika mobile...
 
Shukrani mkuu Kilahiro hata mie sikuwa najua. Unaweza kufahamu makato yake kwa kila transaction. Mf. Kuhamisha pesa toka Simu kwenda bank and vice versa?? Kucheck balance ect???
kuuliza balance ....tshs200
mini statement ...tsh100
money transfer kwa akaunti zako...tsh 200
money transfer kwa 3rd party`s acc...tsh 400
cardless kwa namba za simu 1000
mobile money up to 200,000 ni...tsh 1000, 200,001-500,000 ni ...tsh2000,500,001-1000000 ni ...tsh5000
transfer from mobile money ni FREE
kuongeza salio la simu BURE
kulipia zuku,luku etc BURE
maintenance fee BUREE
 
Asante sana mkuu... Lakini iko safe???
 
In order to access SIM BANKING(CRDB), for the first time you must visit the CRBD branch near you. You will have to fill in the certain form. After that you can access the service within 24 hours after the notification in your mobile phone.

Mkuu bullet,mimi nilishaenda CRDB nikajaza form na wakanitumia namba ya siri. Nina Airtel money, Tigo pesa na M pesa. Airtel money nimefanya kama wanajamvi walivyoelekeza hapo kwa kubonyeza *150*03# imekubari na nimesajiliwa. Tigo pesa na M pesa nikibonyeza hizo namba linakuja jibu kwamba niwasiliane na tawi la CRDB lililo karibu kuweka rekodi zangu sahihi. Je, itakuwa ni kwa sababu labda sikujaza namba za simu kwa hizo account mbili kwenye ile form nilo jaza?
 
Je ume -renew line? If that's a case hunabudi kujaza form upya. Lakini much I know, sim banking inaoprerate kwa mtandao mmoja ie, account moja haiwezi kuoperate na mpesa at the same time tigo pesa. Ila its better kufika bank upate msaada
 
kuuliza balance ....tshs200
mini statement ...tsh100
money transfer kwa akaunti zako...tsh 200
money transfer kwa 3rd party`s acc...tsh 400
cardless kwa namba za simu 1000
mobile money up to 200,000 ni...tsh 1000, 200,001-500,000 ni ...tsh2000,500,001-1000000 ni ...tsh5000
transfer from mobile money ni FREE
kuongeza salio la simu BURE
kulipia zuku,luku etc BURE
maintenance fee BUREE
  • Nyongeza katika hili, Ni vyema ukatumia laini ya TIGO hawana makato kutuma fedha benki, ukilinganisha na vodacom.
  • Pili kwa voda kuna baadhi ya siku waweza tuma fedha na isifike kwenye account yako hata baada ya masaa zaidi ya 24.
 
Asante kwa ushauri mzuri mkuu, ntafanya hivo.
 
Msaada ikiwa kwa bahati mbaya discard ya mtandao mmoja niliacha nao, nikitaka kujisajili na mtandao mwingine inawezekana? Au kwa urahisi zaidi unaweza kujisajili kwenye simcard zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom