Habari wakuu,
Mdogo wenu
Yuzo mawe ni mzima kabisa,kwakweli ashukuriwe muumba wa mbingu na ardhi kwa kutufanya mpaka sasa hivi tunapumua,
Sasa ndugu 'zanguni' Wana jf nilikua naomba kujua majibu/facts ya maswali/vitu yafuatayo;-
1.CPA ina faida gani kwa bachelor's graduate?,
2. Je ni level gani ambayo graduate wa Bachelor ya accounting and Finance huanza?,
Napenda kutanguliza shukrani kwenu,
Asanteni.