Msaada kuhusu Course ya ICT

Msaada kuhusu Course ya ICT

soma IT kabisa achana na ICT haina ishu.. au kama unataka ICT basi piga ICT WITH EDUCATION ila ikisimama yenyewe.. unapoteza muda tu!
1.Mkuu mbona sioni tofauti ya IT na ICT?...maana kilichokosekana kweny IT ni communication...Huoni kuwa ICT ndo bora zaidi?

2.Je na hiyo ICT with EDUCATION...hiyo education unakuwa mwalimu wa ICT hiyo au unafundindishwa kozi kama walimu wa kawaida?
 
Back
Top Bottom