Lazima uwe umesoma hesabu advance ili usome course hiyo ya Computer Science au computer Engineering.
Watu wa PCM na PGM mara nyingi.
Kwa combinations za PCB na EGM kuna, Information Technology, Information Systems, Multimedia Technology, Education with ICT, Computer and Information Systems. Zote hizo ni IT. Hasa check kwa vyuo kama UDSM, UDOM,DIT na MUST.