baba bora
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,500
- 1,096
Hiyof Angaliaa vizuri guidebookWakuu mm nime apply st.johns medical lab Nina biology, B, Chemia, C, Phy C,English, C, Math F, JE watanichagua kweli????
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyof Angaliaa vizuri guidebookWakuu mm nime apply st.johns medical lab Nina biology, B, Chemia, C, Phy C,English, C, Math F, JE watanichagua kweli????
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuchagua kwa kuwa ni privateWakuu mm nime apply st.johns medical lab Nina biology, B, Chemia, C, Phy C,English, C, Math F, JE watanichagua kweli????
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah asante sana pure scientificWatakuchagua kwa kuwa ni private
Omba na gvnt ujaribu zali lako
Nime omba muhimbili institute mkuu ila niviwili tu st.johns na muhimbili VIP unanishauri kuongeza cha tatu?Omba na gvnt ujaribu zali lako
Na pharmacy VIP inaajira serikalini kwa diploma maana muhimbili niliomba naiyo
Vinatosha master it means umeomba serkln & gvnt.. unawez chaguliwa mwote au mojawpo...Nime omba muhimbili institute mkuu ila niviwili tu st.johns na muhimbili VIP unanishauri kuongeza cha tatu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa matokeo ayo hawana ujasir wa kukuacha,andaa Ada na michango Yao tuWakuu mm nime apply st.johns medical lab Nina biology, B, Chemia, C, Phy C,English, C, Math F, JE watanichagua kweli????
Sent using Jamii Forums mobile app