Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Habari za usiku..
Nimemaliza form four mwaka 2015 na nilipata div two ya 21 kwa upande wa science phy-C chem-C bios-C math-D english-D
Hivyo kwa mwaka huu nimeaplly vyuo vya afya vya serikali kwa course ya clinical medicine na laboratory tech...
Wakuu kwa matokeo haya ninaweza chaguliwa vyuo vya serikali?
Jambo lingine nilofikiria kuapply technical collage kama DIT,MUST course ya maabara kwa directly entry ili kama ikitokea sijachaguliwa serkalini nije kusoma hivi vyuo...
Na pia jambo lingine wakuu nimeaplly vyuo viwili vya private ambapo ni machame na st john je taarifa zangu haziwezi kuleta mkanganyiko mpaka nacte wakanitoa kwenye system kwa upande wa serikali...
Naombeni mawazo yenu wakuu maana nimechanganyikiwa na sihitaji kupoteza tena mwaka nyumbani...