Mara nyingi sio rahisi kufanya unlinking ya beat na vocals katika mp3 au hata wav bila kuacha fragments (midi,guitars,trumpets). ila kama ni kwa ajili ya basic use (un-professional) unaweza tumia virtual dj, audacity au hata fl studio kuondoa kick na beats za low pitch na kuacha vocal na fragments za high pitch.