Msaada kuhusu computer

Lusajo

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
456
30
Naomba kama kuna mwana jamii atanisaidia. Nina Computer HP M9150F for some reason haijionyeshi kwenye monitor, Computer ina miezi 5 na ilikuwa inafanya kazi ila aubuhi moja naiwasha inawaka lakini hai-display kitu chochote kwenye monitor na ninayo nyingine ya zamani lakini ina display kwenye the same monitor ambayo haionyeshi kwenye hii comp, nifanye nini?
 
Kwa vile una computer nyingine, njia rahisi ni kutoa graphic card kutoka katika computer ya zamani na kuiweka katika hiyo isiyo display, kama haitoonyesha then jaribu ku-uninstall video driver na kuload upya. Wakati fulani ni file zimekuwa corrupt. Kama ipo embled kwenye motherboad, chomeka nyingine kwenye PCI or AGP slot, kutegemea na board yenyewe inasupport card gani.
 
Lusajo kuna virus ambao kazi yake ni hiyo tu,Scan with powerful ant-virus kwanza kabla ya kumwendea Technician.Nilishakumbana na tatizo hilo na mwenzangu aliweza kuli solve kiurahisi tuu.Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom