Msaada kuhusu club ya UN shule

Jang Bo Go

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
854
253
Habari wadau? kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuanzisha club ya UN shule ya sekondari na kuisajili anisaidie.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Wasiliana na ban ki moon atakupa maelekezo mazuri wengine hata UN hatuijui zaidi ya kujua katibu wake tu
 
Wadau anayefahamu anisaidie ni muhimu sana.
Nenda shule onana na mkuu wa shule mwelezee shida ako, atakukutanisha na mwalimu wa civics (mkuu wa idara) yeye atakusaidia kupata wanachama (wanafunzi), unaongea nao kuhusu hiyo club, lengo lako n.k
 
Habari wadau? kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuanzisha club ya UN shule ya sekondari na kuisajili anisaidie.

Natanguliza shukrani za dhati.

Kama ni kuanzisha club ya YUNA (youth of United Nations association) shuleni ongea na uongozi wa shule kwanza ukikubali kuanzishwa hiyo club unawasiliana na YUNA wao watakupa mawasiliano ya UNCTN (United nations clubs Tanzania network) Hawa ndio waratibu na waongozaji wa club zote za un kwa ngazi ya sekondari. utawasiliana nao watakuja kudhuru shule yenu ili kufungua hiyo club....Namba zao kama huna niambie nikusaidie na ni vyema nikajua ni shule ipi upo Asante...
 
Back
Top Bottom