Msaada kuhusu China kutoshiriki kombe la dunia

Msaada kuhusu China kutoshiriki kombe la dunia

NUHWAHI

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
309
Reaction score
493
Jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo.

Natanguliza shukrani.
 
timu yao ya wanaume mara nyingi huwa hawafuzu ila chona wana timu yao ya wanawake wao ndiyo wako vizuri huwa wanashiriki kombe la dunia upande wa mademu
 
Kwani umesahau World Cup 2002 iliyofanyika Korea and Japan mbona walikuwepo. Nadhani kwanza ungeuliza kwanini Tanzania huioni world cup aua hata AFCON
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom