Mkuu, ni kweli CCNA imegawanyika,
Discovery iko user friendly hata kwa wale wasio na idea sana ya mambo ya computer in general
Exploration you are going straight to networking no stories
Kozi ni moja ila approach ndio tofauti
Kuhusu pa kuanzia, unaweza kujiunga na vyuo vinavyofundisha CCNA,viko vingi
Alternatively you can go for self study
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums