Msaada kuhusu Caterpillar Technician/operator/engineer vocational centres in Nairobi au Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu Caterpillar Technician/operator/engineer vocational centres in Nairobi au Dar

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by twendekazini, Jan 27, 2012.

 1. t

  twendekazini New Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wadau

  Nimemaliza VETA third year Auto Electric course na nimefaulu vizuri. Always huwa nataka kufanya kazi as Caterpillar Operator au Engineer to begin with, in any industry but mainly Construction or Mining.

  Ningependa kujua kuna vyuo gani vinavyotoa practicals ama workshops za miezi kadhaa in Caterpillar technologies with valid certificates in the end in Nairobi or Dar?

  Nahitaji practical before nianze kuapply kazi kwa sababu kila mtu anahitaji experience nowdays. Tafadhali naomba msaada wa majina ya vyuo vinavyotoa haya mazoezi.

  Ahsante sana
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Kwa Dar kawaone MANTRAC Ndiyo dealer wa CAT na wana training centre yao. Wapo karibu na quality plaza Nyerere road.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yani mhitimu wa VETA unataka kufanya kazi kama Engineer?
  Hii ndio kwanza naisikia tena kutoka kwa twendekazini! I never knew the artisan can take up the Engineer's roles!
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Kadri navyofahamu, Mantrac wanachukua watu walio na FTC na Ordinary Diploma ktk training program yao ya Apprentices. Sidhani kama wamebadilisha criteria zao kuweza ku accomodate wahitimu wa VETA.
  Anaweza kujaribu, bila shaka atapata muongozo.
   
 5. t

  twendekazini New Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Many thanks Ngalikihinja, nitawatembelea hoping to be enlightened at least nijue what to do ama where to go and develop my skills. Ubarikiwe
   
 6. t

  twendekazini New Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello Mwita, no need to discourage my ambitions bwana! but thanks for taking time to reply, and actually umenitia moyo zaidi:lol:
   
Loading...