Msaada kuhusu BVM

Msaada kuhusu BVM

Recruit

Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
8
Reaction score
1
Wakuu samahan ,kama kichwa cha habar knavosema km kuna mwenye ujuz kuhusiana na soko la course ya bachelor of veterinary medicine ,nlikuwa naomba anifahamishe
 
Siku izi karibu kila kozi ajira imekuwa ni tatizo soma ukiwa na mawazo ya kujiajiri hutojuta
 
BVM iko poa kabisa,kasome hiyo
 
Nenda SUA kafanye miaka5,ili ujue maisha yakoje
 
Soma hiyo course ila piga msuli wa nguvu baadae jiajiri au uwajiliwe
 
Back
Top Bottom