Ndugu wanajamvi napenda kuwaomba mnipe wazo hivi ukiwa na business plan unaweza kopa benki sababu ndugu wanajamvi Mimi namtaji Wa milioni moja pamoja pikipiki boksa tu.Naomba mawazo yenu wakuu.

Business Plan ni mchanganuo wa jinsi utakavyo fanya biashara yako.
Ukiwa nayo una uwezekano mkubwa wa kukopa benki kirahisi na wakakukubalia wao hawana tatizo cha msingi uwe na collatral ambayo itakuwa ni dhamana ya huo mkopo wako.