sio ajabu JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 217 Reaction score 138 Jun 27, 2017 #1 Habari wakuu Napenda ulizia kwa yeyote mwenye kuifahamu/aliyesoma/ anayesoma/ hii course ya BSC.BIOMOLECULAR AND LABORATORY SCIENCE inayotolewa chuo kikuu SUA kuhusu msuli wake..,ajira zake na mengineyo for additional details for help in need anisaidie. Natanguliza shukrani.
Habari wakuu Napenda ulizia kwa yeyote mwenye kuifahamu/aliyesoma/ anayesoma/ hii course ya BSC.BIOMOLECULAR AND LABORATORY SCIENCE inayotolewa chuo kikuu SUA kuhusu msuli wake..,ajira zake na mengineyo for additional details for help in need anisaidie. Natanguliza shukrani.
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,869 Reaction score 11,486 Jun 27, 2017 #2 Soma sana
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,194 Reaction score 6,528 Jun 27, 2017 #3 Subiri mkuu watakuja tuu, Wahusika wakuu , Ila kozi nzuri inatoa watu vizuri tuu, Na ina lipa vizuri tuu , So wataalamu watakuja tuu, So wewe vuta subira tuu.
Subiri mkuu watakuja tuu, Wahusika wakuu , Ila kozi nzuri inatoa watu vizuri tuu, Na ina lipa vizuri tuu , So wataalamu watakuja tuu, So wewe vuta subira tuu.
sio ajabu JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 217 Reaction score 138 Jun 27, 2017 Thread starter #4 sergio 5 said: Soma sana Click to expand... Thank yoy for your advice
sio ajabu JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 217 Reaction score 138 Jun 27, 2017 Thread starter #5 Ta Lexus SUV said: Subiri mkuu watakuja tuu, Wahusika wakuu , Ila kozi nzuri inatoa watu vizuri tuu, Na ina lipa vizuri tuu , So wataalamu watakuja tuu, So wewe vuta subira tuu. Click to expand... thank you
Ta Lexus SUV said: Subiri mkuu watakuja tuu, Wahusika wakuu , Ila kozi nzuri inatoa watu vizuri tuu, Na ina lipa vizuri tuu , So wataalamu watakuja tuu, So wewe vuta subira tuu. Click to expand... thank you
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Jun 27, 2017 #6 Soma kwanza mambo ya ajira baadaye sana.