Msaada kuhusu blackberry world edition

Msaada kuhusu blackberry world edition

Kahema

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2010
Posts
202
Reaction score
43
nikibonyeza *102# ili kuuliza salio, badala yakuonyesha salio inaendelea kuita as if nimempigia mtu, tafadhari kama ulishakutana na hii kitu nifafanulie nielewe. natumia mtandao wa voda.
 
Nafikiri Blackberry yako ina option ya CDMA ndiyo maana inakataa piga 100 then sikiliza
 
Kama alivyo sema mkuu Benny Haraba , hii simu ina mifumo miwili CDMA na GSM, kwenye GSM kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi,

Kama Unatumia tigo au voda tumia App yao ya Simu Card kuweza kuweka salio na kuangalia salio. Au tumia njia ya maelekezo ya sauti.

Pia unaweza kutumia njia ya kawaida kwa kupiga namba 100 wakati inakupa maelekezo (bila kukata simu) piga *102#
Na press kitufe cha kupigia. Pia na kuweka salio unaweza kutumia utaratibu huo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom