Msaada kuhusu Biometric attendance

Msaada kuhusu Biometric attendance

Khalid91

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
61
Reaction score
45
Wakuu habari,

Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
 
😁😁 ilikua njia yangu ya ku cheat siku nikiondoka mapema (nikitoroka job),
hua si sign out
 
Back
Top Bottom