The Mandingo
Member
- Feb 13, 2017
- 7
- 17
Habari zenu ndugu zanguni,
Ninaomba msaada wa uzoefu wenu 🙏.
Kwa wale waliowahi kuchukua mkopo wa mshahara kupitia CRDB Bank, benki hutumia mfumo gani wa riba kwenye marejesho yao?
Je, ni ule wa flat rate (unakata kiasi sawa kila mwezi bila kujali salio),
Au ni ule wa reducing balance (ambapo riba inapungua kadri mkopo unavyolipwa)?
Na je, kama mtu akiamua kulipa mkopo wake mapema kabla muda haujaisha, CRDB wanapunguza riba ya miezi ambayo haijalipwa au bado unalazimika kulipa riba ya muda wote?