Kwanza niwashukuru kwa kuniongoza na kunipa elimu kwenye kuimport gari nilifanikiwa kupitia enhance auto. Good news na expect mwezi huu itakua ishawasili kwa bandari.
Sasa naomba mwongozo kwa aliyewai kuimport na AUTOCOM kuna gari nataka agiza nyingine. Wakati napekua pekua hawa jamaa nao wana gari kali sana piaa afu ni cheap, nilicreate account fasta kuna agent wao hukohuko japan akanichek kama nataka info yyte kuhusu gari nimcheki.
Kama kuna mwana Jf alishawai agiza gari na hawa jamaa Autocom atupe mrejesho kuhusu gari zao na huduma zao zikoje.. kuuliza sio ujinga wakuu.
Autocom wako vizuri mkuu. Nshaagiza gari mara mbili kutoka kwao. Gari zao zipo kwenye hali nzuri na bei zao ni nafuu kulinganisha na makampuni kadhaa maarufu ya Japan. Kwa urahisi wacheck ofisi zao mtaa wa Samora pale.
Autocom wako vizuri mkuu. Nshaagiza gari mara mbili kutoka kwao. Gari zao zipo kwenye hali nzuri na bei zao ni nafuu kulinganisha na makampuni kadhaa maarufu ya Japan. Kwa urahisi wacheck ofisi zao mtaa wa Samora pale.
Autcom wako vizuri gari zao ziko kwenye hali nzuri.
Karibu Ruaha Freight Ltd ni kampuni iliyo na leseni ya TRA, kutoa mizigo bandarini, viwanja vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Tuletee kazi ya kugomboa gari lako, bei zetu ni nafuu, tunafanya kazi Kwa ufanisi na uaminifu mkubwa.
Ada yetu ya uwakala ( agency fee) ni tshs.200,000 tu kwa gari.
Wasiliana nasi kwa anuani ifuatayo;
Ruaha Freight Ltd,
7th Floor, Twiga House (opposite NHC House,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email mail: ruahafreight2017@gmail.com
Tel: +255222128447
Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp)
Kwanza corporate TIN inatolewa BRELA ukishamalizana na hao jamaa ndo wanakupa certificate ambayo ndo TIN yako then unaenda TRA wanakufungulia file na kukupa certifcate yako ya TIN, watakupa Tax clearance utaenda nayo municipal kwa ajil ya kupata leseni. Sema kama napuyanga.
Kwa Logistic/ clearing company yyte wanatakiwa wawe na cheti kutoka bodi ya usafirishaji sijui. Nafaham hvo