Msaada kuhusu application postal bank

Msaada kuhusu application postal bank

Mizzle87

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
93
Reaction score
6
Wanajamii...! Naomba msaada kwa hili, benki ya posta wametangaza nafasi ya kazi ila kila nikituma kwa anuani yao waliotoa kua maombi yote ndio yapitie hapo mail yangu haipokelewi kabsa. Sasa sijui km tatzo ili ni kwangu tu au na kwa wengne na km tatzo hili ni kwa wote je yupo mtu anaeweza jua njia mbadala eiza iliyomsaidia kufikisha maombi yake au mtu mwingne anisaidie ni hilo tu wandugu. Naomba kuwakilisha.
 
same problem here

Sijui watakua wanawapataje wanao wahitaji kwa maana tatizo si la jana au leo binafsi nimeanza kuliona toka tarehe 18 ya mwezi huu kuna nafasi walitangaza pia na mwisho ikawa tarehe 22 alhamisi nimekua nikiangaika kutuma bila mafanikio mpk deadline imepita na nafasi ikafungwa. My take, wenda tayari wanawatu wa kuziba nafasi na wanatangaza tu ili kuendana na sheria labda?
 
Hiyo benki kama huna ndugu makao makuu sahau kupata kazi hapo ruswa na undugu tu ndiyo umejaa hapo,,, tafuta benki nyingne na makapuni mengne acha kupoteza mda na postal bank
 
ninaungana na ww mm nimeshatuma sana cjawahi pata majibu. hata cku hizi nikiona tangazo lao sihangaiki kabisa kutuma
 
Wanajamii...! Naomba msaada kwa hili, benki ya posta wametangaza nafasi ya kazi ila kila nikituma kwa anuani yao waliotoa kua maombi yote ndio yapitie hapo mail yangu haipokelewi kabsa. Sasa sijui km tatzo ili ni kwangu tu au na kwa wengne na km tatzo hili ni kwa wote je yupo mtu anaeweza jua njia mbadala eiza iliyomsaidia kufikisha maombi yake au mtu mwingne anisaidie ni hilo tu wandugu. Naomba kuwakilisha.

Pole sana ndugu....ila jamaa yangu alianza kupata tatizo kama ilo. Tukaulizi mtu wa ndani wa Postal bank, alisema kuwa account huwa inajaa email na wanabidi wazipunguze mara kwa mara. so, inawezekana wakati uantuma account inakuwa imejaa. Nachokushauri uwe unarudia kutuma kwa wakati tofauti utafanikiwa. Jamaa yangu amefanikiwa kwa mbinu hiyo
 
Hiyo benki kama huna ndugu makao makuu sahau kupata kazi hapo ruswa na undugu tu ndiyo umejaa hapo,,, tafuta benki nyingne na makapuni mengne acha kupoteza mda na postal bank

Ni kweli kabisa,cjawah sikia wameita interview,lakini matangazo kla siku wanachosha
 
Kuna taarifa kutoka ndani ya tpb kuwa huwa wanaangalia sana watu kutoka finca na microfinance zingine na pia wanaangalia wale wanao wafahamu ndo.cv zao.zinaprintiwa
 
Akhsante mkuu wangu, nimepata kujua hilo ivo nimejua sasa kipi nifanye na wapi nianzie.
 
Hakuna ombi hata moja walilonijibu mpaka nikajiuliza tatizo ni mimi au,kika staili ya barua nimeandika sasa huwa nikiyasoma matangazo yao nawapita tu,waite basi watu kwa interview kama kwengine,wapige sim,na majina yawekwe kwa website yao mbona wataturidhisha.
 
Back
Top Bottom