Heshima kwenu wakuu.......naomba mnisaidie kuhusu hii App ya thl.....kama ukifungua account ya huko thl App na pia ukilipia kwa mwezi au miezi....je..utakuwa una log in yaani kuitumia wakati ukiwa offline au mpaka ukiwa na MB bundles....???..msaada tafadhali kwa walioitumia na wanaoendelea kuitumia hii App...
Ukitaka kutumia offline inawezekana ila ni mpaka u download ya offline, ukishainstall hiyo ya online kuna option ya ofline ingia hapo utapata maelezo zaidi