Msaada kuhusu App ya thl

Msaada kuhusu App ya thl

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
5,130
Reaction score
6,360
Heshima kwenu wakuu.......naomba mnisaidie kuhusu hii App ya thl.....kama ukifungua account ya huko thl App na pia ukilipia kwa mwezi au miezi....je..utakuwa una log in yaani kuitumia wakati ukiwa offline au mpaka ukiwa na MB bundles....???..msaada tafadhali kwa walioitumia na wanaoendelea kuitumia hii App...
 
lazima uwe na mb, huwezi tumia ukiwa offline
Mkuu naona kaa pia kuna offline a
APP ya hii thl afu kuna link kabisa ya kuitumia....iyo nayo vipi?????
 
Lazima uwe na mb tena za kutosha ili kufanikisha zoezi hilo
 
Hiyo thl ni nini jamani samahan kakin
...thl app ni application ya kitanzania yenye masuala ya kielimu yenye notsi na mambo yahusuyo elimu ya secondary kuanzia form 1 hadi form 6....
 
lazima uwe na mb, huwezi tumia ukiwa offline
Ukitaka kutumia offline inawezekana ila ni mpaka u download ya offline, ukishainstall hiyo ya online kuna option ya ofline ingia hapo utapata maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom