Mfanyie suprise mnunulie xiaomi, indian version au chinese version ingia setting kisha uweke irecord kila kitunatanguliza shukran wadau.
Kuna namba naiona kwenye simu ya shemeji/wifi yenu mara kwa mara. Haijaseviwa ila inaonekana imepiga na mara moja moja imepigiwa.
So kuna app gani naweza ku'install kwenye simu ya wifi/shemeji yenu ili niweze kujua maongezi yanayoendelea? Shemeji/wifi yenu sio mwerevu Sana kupekua simu. Anachojua ni kupiga, kupokea, kuchat whatsapp tu.
Comments ziwe fupi fupi tafadhali
Ahsante mkuuMfanyie suprise mnunulie xiaomi, indian version au chinese version ingia setting kisha uweke irecord kila kitu
Uwe umeruhusu mi account isave hizo call recording na uwe na access na hiio mi account.
APPS NYINGI ZA ANDROID NI MIYEYUSHO
Unachojaribu kufanya ni kosa kisheria.So kuna app gani naweza ku'install kwenye simu ya wifi/shemeji yenu ili niweze kujua maongezi
https://www.mspy.com/
mkuu tufanyie mpango kuna mtu namtafutia sababuUnachojaribu kufanya ni kosa kisheria.
Baada ya huo utangulizi, basi vizia na install mspy app ( hii app inauzwa sio bure)
Utapata kila taarifa unayotaka kuipata
Ingia kwenye site yao ujionee uwezo wa hii APP
Code:https://www.mspy.com/
Ni hatua mbili za kufanyamkuu tufanyie mpango kuna mtu namtafutia sababu
Haitokizi mahitaji,True call, activate automatic recorder
# 1 NAWEZAKabla ya kuchukua hatua yoyote ya kuwinda mwizi wako jiulize maswali haya
1.Ukijua kuwa anacheat una uwezo wa kumuacha?
2.Je wewe hujawahi kucheat? kama ndiyo ni bora umpige beat tu aachane na huyo mtu kuwasiliana.
3. Je unaweza ku hold temper yako? Coz wengi wameharibu maisha yao kwa kuwinda matokeo ambayo hawawezi kuya handle.kua, depression,stress n.k