Msaada Kuhusu Android OS

Msaada Kuhusu Android OS

fofre

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
805
Reaction score
1,307
Habari zenu wadau, nilikuwa naitaji kufanya dual boot kwa kuistall android OS alongside window, Hivyo mwenye iso file ya Adroid au download link naomba anitumie.
 
Nashukuru sana Ndugu ndo nipo na download iso file, kwenye ku install ni kama kawaida kama unavyo install linux au ni tofauti
yah nafkiri,

mimi nilitumia exe file inafanya kila kitu automatic,
 
Back
Top Bottom