toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,607
- 4,766
Salam wakuu
Baada ya kuvutiwa na bidhaa za aliexpress na mimi nikaagiza bidhaa moja hivi
Nimeagiza toka tarehe 27/6 mpaka leo tarehe 9/7 bado mzigo wanadai upo hongkong
Najaribu kutrack inagoma kwa kutumia track no waliyonipa
Ijapokua wananipa info kuhusu mzigo ila nikitumia app ya 17track inagoma kuonyesha
Mzigo umetumwa kwa kutumia singapore post
Jee nitaupata mzigo bila kutrack?