Msaada kuhusiana na transfer window

Msaada kuhusiana na transfer window

Uzinguaj tareh imepita kwa mujibu wa ratiba yao imepita kiiimya.... Useeng tu.. Jipu lile
 
Jaman nawaombeni msaada kwa yule anaejuwa, majina ya tansfer ya vyuo vkuu yalitoka illa taree ya kulipoti ndo bdo n muda unaisha ivi nyie mmeiskia taree ya kuhamia chuo haswa udom
 
Udom walitoa majina ambayo wao waliyapitisha wakayapeleka TCU ad TCU watoe majibu ndo utasajiliwa
 
Jaman nawaombeni msaada kwa yule anaejuwa, majina ya tansfer ya vyuo vkuu yalitoka illa taree ya kulipoti ndo bdo n muda unaisha ivi nyie mmeiskia taree ya kuhamia chuo haswa udom
Uwe unapitia post za juu.... Tareh ishapita tokea tar 7 ila hawajatoa kitu na hawana taarifa yoyote na iyo tarehe waliipanga wenyewe na wameshndwa kuifata... Watu wanahaha kila kona hawajui la kufanya..

Nimetafuta nmber active ya tcu nichukue majibu nisaidie kutaaarifu watu... Sijapata number

Sent using Jamii Forums mobile app
 
255222113691
255222113694
 
Back
Top Bottom