Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn

Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn

Wadau naomba msaada wenu mimi ni mgenikwenye pdproxy nimeweza kupata premium account ya mwezi mmoja lakini kila nikikonect sipati speed kubwa kama wanavyosema watu napata 10-24kbps tu
msaada pla
 
Zantel sio ?
 
Hiyo danganya toto hamna cha kupata speed ya Juu hapo...

Wrong toilet hiyo...
 
Vodacom 1GB sh 1000 si haba inasukuma sukuma siku na V-GB kwa spidi kubwa.
 
Back
Top Bottom