msaada kuhamisha contacts from iphone 3GS to samsung galaxy note

msaada kuhamisha contacts from iphone 3GS to samsung galaxy note

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
4,936
Reaction score
3,549
Wadau naombeni mwenye maujanja ya kurahisisha zoezi la kuhamisha contacts (phonebook) kutoka iphone 3GS kwenda kwenye Samsung Galaxy Note. Kuna contacts zaidi ya 1000 na kuimport haiwezekani maana iphone inatumia simcard kubwa wakati samsung inatumia simcard ndogo so hazipo compatible.
 
Back
Top Bottom