Asalaam....
Pole sana Code47, unafunga dishi 9PM!
Inawezekana unatumia kingamuzi chao, jaribu kukizima na kukiwasha tena kila unapofunga na kufungua satellite finder yako kwenye cable inayounganisha lnb na kingamuzi.
Kwa ubora zaidi unapofunga dish, tumia smartphone app ya satfinder ya Maciej G , lock azimuth ya satellite na tumia hiyo finder yako kwa elevation na baadae lnb skew.
Wasalaam