Msaada: Kudownload video kwenye simu

Fungakazi

Senior Member
Jan 11, 2012
174
127
mi nnatumia Nokia 3110c na memory card 1gb tatizo ni kwamba nnashndwa kudownload video zenye mb kubwa mfano 20mb na kuendelea, ikijitahidi sana inadownlod video ya 9 - 12mb lakini nikijaribu 20mb inasema download faild je, nikwamba simu haiwezi kudownload video kubwa au? Msaada pliz
 
sio simu ni network + browser ndo zinasababisha hilo tatizo

network ina ji disconect baada ya muda fulani and then browser haisuport resume so unakuta download ina fail

ushauri: download ucweb browser maana download manager yake ina support resume. Kuipata click hapa

ucweb ya simu yako

we ukiona imefeli download click resume utaona inaendelea pale ilipoishia
 
shukrani sana ni kwel hii browser inaresume thanx sana
 
sio simu ni network + browser ndo zinasababisha hilo tatizo

network ina ji disconect baada ya muda fulani and then browser haisuport resume so unakuta download ina fail

ushauri: download ucweb browser maana download manager yake ina support resume. Kuipata click hapa

ucweb ya simu yako

we ukiona imefeli download click resume utaona inaendelea pale ilipoishia

naomba msaada mkuu simu yangu ni dowload inahandika not valid cetifikate na plogram zilizokuwapo mwanzo kuwapo zinahandika not sapoti
 
ila bora uachane nayo maana iko slow kichizi yaani haivutii kivile so fanya kutafuta opera min iko poa kuliko uc brower that's according to me.
 
unatumia simu gan? Ntakupa majibu kwa nokia
Kama siyo ya multtask (s40) yaani isiyominimise tumia njia hii
katika simu hizi zinaingia mafile ya format ya java.

Hizi java zimegawanyika mara 2 kuna jar na jad.
File la jad mara nyingi linataka certificate la jar halitaki

Solution download jar mfano search google opera mini.jar (kila soft utayosearch mbele ongezea .jar)

Kwa s60 simu za multask (zinazominimise)

Hapa kuna option 2
1. Kupata developer certificate na kua na signer yako mwenyewe.
So utakua ukidownload software yoyote una isign

2. Option ya 2 ni kuhack simu na sku hizi ipo njia rahisi ya kutumia helo0x ukihack simu sahau problem ya certificate error (recomended for advanced users)
 
yah haivutii lakini ukumbuke opera hairesume na ukiexit download inafutika

Utajiskiaje unadownload kitu cha mb 20 then inafika mb 19 inasema download failed?

Ila uc ikisema download faile unaresume inaendelea ilipoishia.

Kila browser na faida yake mi narecomend opera for browse and ucweb for downloading
 
Jamaa mi nataka call manager kuna baadhi ya namba sitaki wanipate wakinipigia wala sms zao sizitaki ziingie kwangu......
 
unatumia simu gan? Ntakupa majibu kwa nokia
Kama siyo ya multtask (s40) yaani isiyominimise tumia njia hii
katika simu hizi zinaingia mafile ya format ya java.

Hizi java zimegawanyika mara 2 kuna jar na jad.
File la jad mara nyingi linataka certificate la jar halitaki

Solution download jar mfano search google opera mini.jar (kila soft utayosearch mbele ongezea .jar)

Kwa s60 simu za multask (zinazominimise)

Hapa kuna option 2
1. Kupata developer certificate na kua na signer yako mwenyewe.
So utakua ukidownload software yoyote una isign

2. Option ya 2 ni kuhack simu na sku hizi ipo njia rahisi ya kutumia helo0x ukihack simu sahau problem ya certificate error (recomended for advanced users)

nokia 3110c mkuu mwanzoni nilikua natumia vizuri tu tatizo limeanza hivi karibuni hasa program ya opera na facebook zote zimenigomea nikaenda kufrash lakini tatizo bado lipo msaada mkuu
 
yah haivutii lakini ukumbuke opera hairesume na ukiexit download inafutika

Utajiskiaje unadownload kitu cha mb 20 then inafika mb 19 inasema download failed?

Ila uc ikisema download faile unaresume inaendelea ilipoishia.

Kila browser na faida yake mi narecomend opera for browse and ucweb for downloading

Upo ryt mkuu, its true.
 
Chief Mkwawa said:
Kupata developer
certificate na kua na signer
yako mwenyewe.
Mkuu unaweza kuelezea kidogo hapo jinsi ya ku sign wenyewe certificate?
 
nokia wana kitu kinaitwa developer certificate yani certificate ya watengeneza software

hii certificate inakua unique yani haifanani kutoka simu moja kwenda nyengine. Inatengenezwa na imei

So wewe unatengeneza certificate yako then kila software unayoidownload ambayo ni unsigned unaisign na certificate yako. Ukumbuke soft ukisign na certificate yako itaingia kwenye simu yako tu haingii kwa mwengine

Jinsi ya kusign kuna software inaitwa free signer inaidownload then unalocate certificate yako na file lako then una sign

Jinsi ya kupata certificate now ni ngumu kidogo maana nokia wamesitisha kutoa bure wanakosa masoko baada ya watu kucrack software zinazouzwa ziwe bure then wanazisign

Ila stil kwenye forums mbali mbali wapo watu wanaweza manual kutengeneza hizi certificate.

Kama utataka unaweza kwenda shoujizu.net fata maelekezo au nenda symbianize.com

Hope umenipata
 
nashukuru mkuu nimepata opera na ile ya facebook sasa imekuja shida mpya nikitaka kutumia hizo program inakuja ujumbe kua netwek imeferi .

unatakiwa uwe na access point.
Mfano tigowap sio access point haiwez kurun application ila tigo web inaweza

so nambie unayo access point? Kama huna unatumia mtandao gan?
 
natumia airtel intenet ata jamiiforums natumia simu hiyohiyo aigomi ila yale mafaili ya kudownload tu ndo yagoma hasa fb na operamini hayo ni muhimu kwangu nasubiri msaada chief
 
Natumia Nokia C2,ina memory card ya 2GB.Tatizo tatizo nikiwa nadownlod blog au Utube inafikia mahali inagoma!Nisaidieni wa Jf.
 
natumia airtel intenet ata jamiiforums natumia simu hiyohiyo aigomi ila yale mafaili ya kudownload tu ndo yagoma hasa fb na operamini hayo ni muhimu kwangu nasubiri msaada chief

fata huu mlolongo utaenda
Menu
Setting
Configuration

Kwenye default connection chagua airtel internet (sometime inaandikwa internet)

Then ukishachagua click kwenye active default in all aplication.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom