Wakuu ninataka kutengeneza bootable usb flash na sina tatizo na proccess yake, isipokuwa mkononi ninayo windows7 installation disck tatizo ni jinsi gani nita copy mafaili ya windows7 kutoka kwenye dvd na kuya copy kuwa iso image kwenye hhd ili sasa niweze kuendelea na zoezi.
Maelezo yanataka nidownload iso image ya wn7 lakini mimi najiuliza haiwezekani kucopy kwenye dvd na kisha kufanya iso image?
Downloading na speed ya huku nuliko naweza kunichukua wiki kadhaa
Yaani mpaka leo watu mnaipenda Win7? jaribu kuweka hiyo Bootable CD, Then ifungue kama CD ya kawaida unavyoifungua then ukopi files zote, itakubali ila sina uhakika kama Win7 unaweza kuiboot kwa USB FLASH, Ubuntu linux 11.10 ndio nilijaribu ikakubali.But jaribu tu,may be itakubali. ILA NJIA RAHISI NI KUWA NA BURNING SOFTWARE, THEN COPY DISC AND BURN. Mf nero unaweza kuiweka IMAGE DISK then uselect COPY AND BURN. Itafanya coping na kuiburn hiyo instalation disk.Wakuu ninataka kutengeneza bootable usb flash na sina tatizo na proccess yake, isipokuwa mkononi ninayo windows7 installation disck tatizo ni jinsi gani nita copy mafaili ya windows7 kutoka kwenye dvd na kuya copy kuwa iso image kwenye hhd ili sasa niweze kuendelea na zoezi. Maelezo yanataka nidownload iso image ya wn7 lakini mimi najiuliza haiwezekani kucopy kwenye dvd na kisha kufanya iso image? Downloading na speed ya huku nuliko naweza kunichukua wiki kadhaa
tafuta na tumia application kama nero Kuburn hiyo dvd ya windows 7 ili utengeneze image(iso) file yake .
Kama una winrar nadhani pia inaweza kukuwezesha kutengeza iso(image) file from CD/DVD
otherwise jaribu kucheki hizi app
Top 7 Image File Creator And Burning Tools For Windows Users
Zing:
Nero - Inaweza
WinRAR - haiwezi (for Compression Of Files kama WinZip)
Mkuu mimi ninayo software (powerISO) inayoweza kukuwezesha ku-copy disk image kwenye format zozote kati hizi .iso file, .bin file na .daa file ila tatizo cjajua nai-upload vip hapa kwenye hii page! lakini nafikiri ni free online...[url]http://www.poweriso.com/download.htm[/URL] jaribu ku-download from that link!Wakuu ninataka kutengeneza bootable usb flash na sina tatizo na proccess yake, isipokuwa mkononi ninayo windows7 installation disck tatizo ni jinsi gani nita copy mafaili ya windows7 kutoka kwenye dvd na kuya copy kuwa iso image kwenye hhd ili sasa niweze kuendelea na zoezi.
Maelezo yanataka nidownload iso image ya wn7 lakini mimi najiuliza haiwezekani kucopy kwenye dvd na kisha kufanya iso image?
Downloading na speed ya huku nuliko naweza kunichukua wiki kadhaa