Msaada: Kuchumbia uhayani

mwambie binti mwenyewe akuunganishe na mzee mmoja au wawili wa kihaya awe mshenga.
 

Nakazia, hawachelewi kuja watafiti fake wakatukosesha shemeji..
 
1.KAMA HUNA MASTERS SAHAU KUOA

2.KAMA HUJAWAHI KUPANDA NDEGE SAHAU

3.KAMA HUJUI ENGLISH USITHUBUTU

4.KAMA NI MWALIMU USIJISUMBUE

5.KAMA WEWE NI DAKTARI BASI UWE SPECIALIST ZAIDI YA HAPO SAHAU KUOA

6.KAMA HUNA GARI YA ZAIDI YA MILLION 30 TAFUTA MCHEZO WA KUCHEZA

7.KAMA HUJUI KUMKOJOZA MWANAMKE MUACHE HUYO MUHAYA UTACHAPIWA


KAMA HUNA VYOTE HAPO JUU TAFUTA MCHAGA AU MDIGO UOE
 
Mkuu! Kuoa mhaya jitahidi huwe huko vizuri! Namaanisha hela iwepo, vinginevyo utakimbiwa au kuchapiwa! Mke wa kihaya unatakiwa huwe na maisha ya aina fulani kama wewe sio mhaya! Mke wa kihaya hata kama hajaenda shule lakini anajua maisha mazuri ni yapi? Wahaya kwa wahaya wanaoana kirahisi!
 
Nimeoa huko ila nimethibitisha kwamba hili kabila ni tatizo.
 
Huyo Kokushubira wako una uwezo wa kumtoa maji??ķama huna jiandae kuchapiwa na Nshomile mwenzake.
 
Nakumbuka miaka miwili iliyopita nilimsindikiza jamaa yangu ukweni kutoa mahari, ilikua ni wilaya ya Karagwe kijiji kinaitwa Chanya karibia na mpaka wa Uganda.

Jamaa yangu alikua kajiandaa na milioni nne mfukoni akiwa anajua itaisha yote na atabaki na deni. Tulivyofika tukakaribishwa vizuri sana, baada chakula ndio mazungumzo rasmi yakaanza.

Kinyume kabisa na tulivyotarajia, hesabu ya vitu vyote walivyo orodhesha ilikua Tsh 681,500 na baba wa binti akasema hataki mahari bali anahitaji binti yake aolewe kwa ndoa ya kanisani.

Kwahiyo mkuu kua na amani kabisa kwasababu wahaya hawana mambo mengi kwenye swala la mahari.
 
Huu ushauri asiuchukulie kisport sport kuna jambo...humu
 
I'll be damned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…