Msaada kucheki simu Original au feki Samsung Mini galaxy S3

Msaada kucheki simu Original au feki Samsung Mini galaxy S3

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,675
Wakuu wa Gadgets naombeni msaada wa key niweze kuhakiki hii simu.
 
Clones za siku hizi ni kama original, sema material ndio cheap tu.
Cheki kwanza bei unayouziwa, jaribu kupiga baadhivya.picha hafu angalia ubora wake, mara zote au nyingi clones wanatumia mediatek soc so benchmarks zake zitakua ndogo, itabidi u download atuntu na uangalie score yake kisha fananisha na ulioambiwa google ya.simu yako,

soma huu uzi chini

https://www.jamiiforums.com/matanga...-s4-s3-note-2-za-kichina-10.html#post10775737
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom