Modem hii inatengenezwa na ZTE na kimsingi ili kuweza kuitumia kwa mitandao mingine ni kuifanyia debranding yani kubadilisha kabisa dashboard iliyopo ya vodaphone na kuweka nyingine, ili kuweza kuweka dashboard nyingine, tumia QPST ili uweze kusoma na kuandika modem yako kisha uweke ISO ya tofauti,
viti unavyotakiwa kuwa navyo ni
QPST APPLICATION
ZTE.ISO
Unatakiwa kuwa na kaujanja ka computer kidogo ili kuweza kufanya hii mambo, kwa msaada zaidi unaweza kuni PM