msaada kublock emails katika account yangu ya gmail | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kublock emails katika account yangu ya gmail

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mamaya, Mar 18, 2013.

 1. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,710
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  habari wakuu,heshima mbele wana gadget!
  naomba kujuzwa namna ya kublock matangazo ya biashara yanayoingia ktk account yangu ya gmail.matangazo hayo yanatumwa na google group moja nilijiunga nayo inaitwa A FRIEND OF MFK CREATIONS.kwa sasa imekuwa ni usumbufu wa emails zao.naombeni mwongozo wa kujitoa.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2013
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,915
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mkuu upo katika jukwaa la siasa humu. peleka sehemu husika.
   
 3. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,710
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  mi mwenyewe nimejichanganya.mods naomba hamisheni hii kitu.
   
 4. n

  nicholau Senior Member

  #4
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Changamkia hizo biashara
   
 5. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,710
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  mkuu ni watu wanatangaza biashara zao,na baath ya matangazo ya kazi kama ilivyo jf,sasa kwangu hauna maana ni sawa na kunijazia spam emails kwenye acount yangu wakati hayo matngazo jf au zoom yapo.
   
 6. m

  mwenewachu Member

  #6
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Ok, simple kwa nyinginezo sina uhakika, ila if you use Yahoo, select those junks and click 'sparm". Any time any email address noted as sparm haitingia kwenye inbox yako ila kwenye sparm folder. Then huhitaji kufungua sparm folder usome, just do one of the following:
  a. In the left column on Sparm folder highlight it on Empty the Sparm folder
  b. Click on Sparm folder, select all msg and delete

  PIa usizoee kufungua any unknown link(s) in the email. Avoid sign up or register with site you don't know.
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2013
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,049
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Ichague email kwenye Inbox yako kisha bonyeza Report SPAM (Alama ya Mshangao) hii itablock hiyo email na kuwaharibia hao jamaa kwa ujumla.
   
 8. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2013
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,710
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  mkuu ni acnt ya gmail (google)p
   
Loading...