Akhy D
JF-Expert Member
- Jun 10, 2013
- 361
- 419
Habari za muda huu wana JF,
kuna jmaa yangu flani anafanya biashara za vifaa vya electronics vilivyotumika maarufu kama used, juzi nilipita nikakuta kaingiza mzigo mpya katika kuchagua nikakutana na laptop moja ya ukweli ikiwa na windows yake na haina loki wala nini. ila tatizo ni kua hiyo windows inatumia lugha ya kinorway na nimejaribu sana kuibadilisha ila bado sijafanikiwa, naombeni msaada kwa mwenye kuelewa kubadilisha.
OS yake ni Windows 7 home premium