Wadau npo mwanza nina gari aina ya toyota mark x ina radio lugha ni kijapani. Naomba kama kuna mtaalamu wa kijapani hapa mwanza, anisaidie kubadilisha na kuwa kingereza maana nashindwa kuifaidi hii redio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.