Msaada kubadili taarifa zangu za paypal

Msaada kubadili taarifa zangu za paypal

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habar wana teknolojia....naomba msaada hivi naweza kubadilisha baadhi ya taarifa zangu nilizozitumia kujisajilia paypal hasahasa nataka kubadilisha sanduku la posta kwani nimefungua la kwangu....Natanguliza shukran wakuu.
 
  • Ndio inawezekana
  • Click Profile >> Personal info >> Address - Badili hilo sanduku la Posta
 
Back
Top Bottom