Msaada kubadili gari MINI PAJERO automatic iwe manual gear box

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
145
Wakuu natumai mu salama ! ! Nina gari aina ya mini pajero 3 door ni auto gearbox ina tatizo kuchelewa katika mwendo kwa kulingana na mzunguko/mlio wa engine, yaani gari inadai gea nyingine engine inalia sana na gari haitoki, kwa haraka haraka nimeamua kubadili gearbox ili iwe manual...

Au kama pana yeyote aliyewahi kupata hili tatizo anisaidie tafadhali kwani gari bado ni mpya toka japan ina miezi kadha tu namba ni CMK au kwa yeyote atakaye penda kununua pia nika tayari.

BF213437_03d70a.jpg
 
Mpigie huyu jamaa simu. Akishindwa basi uza kama spare 🙂 0719193213
 
Kuliko kufungua topic ingine naomba niulize humu humu.
Ninampango wa kununua pajero hizi kubwa ila short chasis. Ni mara yangu ya kwanza kutaka kumiliki mistubishi.
Kwa anaezijua vizuri naomba anipe sifa zaake please. Ni ya 97.
 
Uliwahi kuipeleka kwa fundi? kama ni ndio alikwambiaje? je unataka kubadili gear box kutokana na kujiridhisha mwenye kuwa gear box imekufa? kama ni fundi amekushauri hivyo unamuamini kwa kiasi gani? chakufanya ni hivi peleka gari kwa car doctor wasio wa mitaani watakwambia cha kufanya kama gear box imechoka, ila kama wewe ni fundi na unajua tatizo ni nini, fanya maamuzi yako.
 
Wakuu natumai mu salama ! ! Nina gari aina ya mini pajero 3 door ni auto gearbox ina tatizo kuchelewa katika mwendo kwa kulingana na mzunguko/mlio wa engine, yaani gari inadai gea nyingine engine inalia sana na gari haitoki, kwa haraka haraka nimeamua kubadili gearbox ili iwe manual...

Au kama pana yeyote aliyewahi kupata hili tatizo anisaidie tafadhali kwani gari bado ni mpya toka japan ina miezi kadha tu namba ni CMK au kwa yeyote atakaye penda kununua pia nika tayari.

BF213437_03d70a.jpg
mkuu ugonjwa mkubwa na sugu na common wa gari hiyo ni trasnmission control.so 90% shida ya gari yako itakuwa ni hiyo control ya transmission badilisha hiyo mambo yatakwenda mswano.. garama za kubadili gearbox ni kubwa zaidi
. lkn kama mfuko una ruhusu nakuunga mkono tupia gearbox ya manully hapo usahau shida na uenjoy maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom