Msaada ku_stream video youtube

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jmn nisaidien cm yangu (Nokia 3120classic), zamani nilikuwa naweza kustream video za youtube but sasa hv nikitaka kuangalia haionyeshi hata nikiclick button ya ku watch' hairespond chochote msaada plz
 
jaribu solution hizi

Kwanza make sure unatumia youtube ya simu yani isiwe YouTube - Broadcast Yourself. bali iwe m.youtube.com

Pili unaweza download app ya java ya youtube ambayo utaipata getjar au ovi au google kwenyewe

Tatu tumia website zengine zenye video za youtube
Vuclip web video search na
Tubidy Free 3GP Mobile Videos


unaweza pia kunambia ni aina gan ya software ulokua unatumia kustream kabla

mwanzon nilikuwa ctumii software yoyote yaani nilikuwa nikifika kwenye video yenyewe tu na click 'watch video' inaanza ku_stream yenyewe na kuonekana
but
ngoja nijaribu hizo njia nyingine then ntaleta fidback
 
Back
Top Bottom