Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 500
Sas mchakato wa kutumia box unakuaje au hyo huduma ya box naipataje
Sas mchakato wa kutumia box unakuaje au hyo huduma ya box naipatajeMkuu hapo huna jinsi zaidi ya kuifanyia network unlock ambayo kwa model hii na nyingine nyingi za Vodafone ni lazima utumie Boxes tu.
Mkuu manfive,BOX ni kifaa maalumu kwa ajili ya kurekebishia simu ambacho hutumika pamoja na PC/MAC.Mkuu unavyosema box unamaanisha nin maana sielew plz naomba unieleweshe
Hapo inabidi ama ulinunue hilo box au kwa urahisi zaidi ni kutafuta mafundi simu ambao wanazo boxes zinazoweza kufanya kazi hiyo,wakufanyie na uwalipe..Sas mchakato wa kutumia box unakuaje au hyo huduma ya box naipataje
Ok thanks mkuuHapo inabidi ama ulinunue hilo box au kwa urahisi zaidi ni kutafuta mafundi simu ambao wanazo boxes zinazoweza kufanya kazi hiyo,wakufanyie na uwalipe..
Karibu PM kwa utatuzi wa tatizo lako lolote la Smartphone,Tablets au PC.Ok thanks mkuu
hao mafundi wa volcano wanapatikana wapi hapa dar, na gharama zao zinakuaje?Karibu PM kwa utatuzi wa tatizo lako lolote la Smartphone,Tablets au PC.
Mkuu ngoja nikufate pmhakuna cha Pm au nini kazi hiyo inafanyika Hata kama CMU yako cjaishika we kikubwa hapo ni serial no au IMEI nitafute 0763753492
Mkuu real G,wamejaa tele kila pembe ya Jiji na nchi nzima,hasa pale Mtaa wa Agrey na wengine tupo humu humu JF.hao mafundi wa volcano wanapatikana wapi hapa dar, na gharama zao zinakuaje?
Mkuu mbona kimya au ulikuwa unapima upepohakuna cha Pm au nini kazi hiyo inafanyika Hata kama CMU yako cjaishika we kikubwa hapo ni serial no au IMEI nitafute 0763753492
ok, hiyo mambo niliona mdau mmoja alikua ana uzi lakini yeye alisema unampa details za simu yako (kwa baadhi ya simu), anakutumia code ila sikuona simu yangu kwenye list yakeMkuu real G,wamejaa tele kila pembe ya Jiji na nchi nzima,hasa pale Mtaa wa Agrey na wengine tupo humu humu JF.
Yaap,inawezekana pia kwa IMEI tu mkuu.ok, hiyo mambo niliona mdau mmoja alikua ana uzi lakini yeye alisema unampa details za simu yako, anakutumia code ila sikuona simu yangu kwenye list yake
vp na hii inafaa ku unlock kwa code nikituma IMEI yake?
so can you help me out? itani cost ngapi?Yaap,inawezekana pia kwa IMEI tu mkuu.
yes,i can help you out & will cost you 20 Grands.so can you help me out? itani cost ngapi?
thanksyes,i can help you out & will cost you 20 Grands.