Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Wakuu habari zenu
Siku zote huwa naona misaada ya ku-unlock moderm za huawei...
Moderm yangu ZTE na siyo huwawei, model yake ni K3571-Z na IMEI yake ni 359591034981292 (vodafone)
Please, naomba maujanja ya kujinasua na hawa mabepari....
unaweza kuni-PM
Regards