Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 #1 Habari wanajukwaa! Kama heading inavyojieleza, msaada wenu Jinsi Kufungua Tecno Spark 2 maana Mdau Kasahau Password. Natanguliza Shukrani zangu za dhati Kwenu!
Habari wanajukwaa! Kama heading inavyojieleza, msaada wenu Jinsi Kufungua Tecno Spark 2 maana Mdau Kasahau Password. Natanguliza Shukrani zangu za dhati Kwenu!
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Jun 10, 2019 #2 Una hakika ni ya kwake? Akutajie email na password....then log in to another device uhakikishe
Official Tz App Member Joined Jul 4, 2018 Posts 20 Reaction score 10 Jun 10, 2019 #3 Icije kua umeiokota saiv ni kesi
PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,444 Jun 10, 2019 #4 Msaada ni kurudisha simu ya watu... Simu ina password, ina fingerprint na ina email ..vyote vimesahaulika
Msaada ni kurudisha simu ya watu... Simu ina password, ina fingerprint na ina email ..vyote vimesahaulika
Philemon Gobre Member Joined Oct 30, 2013 Posts 9 Reaction score 2 Jun 10, 2019 #6 Downlod software ya tecno yenye zaidi ya android 6>>> then fanya kuflash mambo yanakua poa zaidi
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 Thread starter #7 MC44 said: Una hakika ni ya kwake? Akutajie email na password....then log in to another device uhakikishe Click to expand... Ni ya Kwake Mkuu, ni Wife.
MC44 said: Una hakika ni ya kwake? Akutajie email na password....then log in to another device uhakikishe Click to expand... Ni ya Kwake Mkuu, ni Wife.
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 Thread starter #8 MC44 said: Una hakika ni ya kwake? Akutajie email na password....then log in to another device uhakikishe Click to expand... Labda kama kama kuna njia ya Kufungua kutumia Email Mkuu, Tafadhali Msaada!
MC44 said: Una hakika ni ya kwake? Akutajie email na password....then log in to another device uhakikishe Click to expand... Labda kama kama kuna njia ya Kufungua kutumia Email Mkuu, Tafadhali Msaada!
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 Thread starter #9 Philemon Gobre said: Downlod software ya tecno yenye zaidi ya android 6>>> then fanya kuflash mambo yanakua poa zaidi Click to expand... Nitatambuaje kama ina hizo Android zaidi ya 6
Philemon Gobre said: Downlod software ya tecno yenye zaidi ya android 6>>> then fanya kuflash mambo yanakua poa zaidi Click to expand... Nitatambuaje kama ina hizo Android zaidi ya 6
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 Thread starter #10 PANTHERA LEO said: Msaada ni kurudisha simu ya watu... Simu ina password, ina fingerprint na ina email ..vyote vimesahaulika Click to expand... Finger print haikusetiwa hivyo haifanyi kazi kwa Upande huo.
PANTHERA LEO said: Msaada ni kurudisha simu ya watu... Simu ina password, ina fingerprint na ina email ..vyote vimesahaulika Click to expand... Finger print haikusetiwa hivyo haifanyi kazi kwa Upande huo.
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 Thread starter #11 Official Tz App said: Icije kua umeiokota saiv ni kesi Click to expand... Haijaokotwa Ndugu! Ni Familia Kabisa.
Official Tz App said: Icije kua umeiokota saiv ni kesi Click to expand... Haijaokotwa Ndugu! Ni Familia Kabisa.
Official Tz App Member Joined Jul 4, 2018 Posts 20 Reaction score 10 Jun 10, 2019 #12 Unajua kufanya hard reset
carter JF-Expert Member Joined Jan 23, 2009 Posts 3,664 Reaction score 4,272 Jun 10, 2019 #13 Xender....ingia YouTube utapata namna ya kufanya
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Jun 10, 2019 #14 Ndikwega said: Labda kama kama kuna njia ya Kufungua kutumia Email Mkuu, Tafadhali Msaada! Click to expand... Umefanya hivyo? Hakiki ulete mrejesho
Ndikwega said: Labda kama kama kuna njia ya Kufungua kutumia Email Mkuu, Tafadhali Msaada! Click to expand... Umefanya hivyo? Hakiki ulete mrejesho
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,304 Jun 10, 2019 #15 Ndikwega said: Ni ya Kwake Mkuu, ni Wife. Click to expand... Omba email and password then zihakiki
Melanny JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 1,247 Reaction score 2,259 Jun 10, 2019 #16 Utakuwa umeiba tu. Najua Lakini sikuelekezi
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 Thread starter #17 Official Tz App said: Unajua kufanya hard reset Click to expand... Hapana Mkuu, sifahamu! Msaada tafadhali!
Official Tz App said: Unajua kufanya hard reset Click to expand... Hapana Mkuu, sifahamu! Msaada tafadhali!
Official Tz App Member Joined Jul 4, 2018 Posts 20 Reaction score 10 Jun 10, 2019 #18 shida inakuja hapa kua baada ya kufanya hard riset itahitaj google accaunt ilio kuepo b4 je uko nayo
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,963 Reaction score 7,649 Jun 10, 2019 #19 Ndikwega said: Ni ya Kwake Mkuu, ni Wife. Click to expand... Hawa watu ni careless kweli hapo we subiri kupewa manung'uniko na lawama kama umeharibu wewe na unaweza nyimwa hah wakina mama mungu anawaona mjue
Ndikwega said: Ni ya Kwake Mkuu, ni Wife. Click to expand... Hawa watu ni careless kweli hapo we subiri kupewa manung'uniko na lawama kama umeharibu wewe na unaweza nyimwa hah wakina mama mungu anawaona mjue
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Jun 10, 2019 Thread starter #20 Official Tz App said: shida inakuja hapa kua baada ya kufanya hard riset itahitaj google accaunt ilio kuepo b4 je uko nayo Click to expand... Ndiyo ipo Mkuu!
Official Tz App said: shida inakuja hapa kua baada ya kufanya hard riset itahitaj google accaunt ilio kuepo b4 je uko nayo Click to expand... Ndiyo ipo Mkuu!