Umefanya hivyo?Labda kama kama kuna njia ya Kufungua kutumia Email Mkuu, Tafadhali Msaada!
Omba email and password then zihakikiNi ya Kwake Mkuu, ni Wife.
Hawa watu ni careless kweliNi ya Kwake Mkuu, ni Wife.




hapo we subiri kupewa manung'uniko na lawama kama umeharibu wewe na unaweza nyimwa hah






wakina mama mungu anawaona mjue