Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
heshima kwenu wana MMU,naomba msaada wa jinsi ya kufungua simu yangu Huawei Y210-0200,niliinunua toka kwa mtu ikiwa na Google account yake,nilipoichukua nikaweka pattern password lakini jana aliichukua mdogo wangu akajaribu kuifungua ili atumie akakosea mara nyingi sana na ikawa imejifunga na sasa imeandika SIGN IN WITH YOUR GOOGLE ACCOUNT, kinachonipa shida nimejaribu kuwasiliana na mtu aliyeniuzia kasema alitengenezewa hyo email address na mtu na akaunganishwa hivyo haikumbuki vzuri wala password zake hazikumbuki,naomba msaada wenu kama kuna njia mbadala tofauti na hiyo ili niweze kuifungua,ahsanteni