Msaada ku unlock nokia N73

Msaada ku unlock nokia N73

KIVURUGA

Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
23
Reaction score
0
Wakuu naomba msaada jinsi ya kutoa lock kwenye simu , natumia nokia N73, yeyote mwenye ujuzi anisaidie. Aksante
 
yaaani kivp kaka kaka? na imelock kiaje au ndo hauna password unataka upatiwe jinsi ya kuzipata?
 
Inahitaji nini hyo simu?
Umenunua kutoka nje ya Tz au?
 
Inahitaji nini hyo simu?
Umenunua kutoka nje ya Tz au?

niliweka pasword na nieisahau kaka, sasa imelock, inahitaji security code, simu imenunuliwa hapa hapa tz
 
Wakuu naomba msaada jinsi ya kutoa lock kwenye simu , natumia nokia N73, yeyote mwenye ujuzi anisaidie. Aksante

Je, unataka kufungua Nokia yako N73 kutoka lock carrier? Kama ndiyo, kutumia kufungua ili kufungua yake. Unaweza kupata kutoka kwa mchuuzi yeyote online kama OnlineGSMUnlock.com kwa kufungua hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom