Msaada ku unlock huawei y300 itumie line zote

Msaada ku unlock huawei y300 itumie line zote

Busurwa

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
26
Reaction score
2
Ninatumia Huawei Y 300 nilinunua Tigo sasa huku niliko mtandao uko down sana natamani kutumia mtandao mwingine inagoma. Msaada
 
Sasa we unajua inatumia mtandao mmoja unategemea uweke SIM nyingine isigome??
Solution za tatizo kama lako zmejaa humu ndani,hujajishughulisha tu.

Mchek huyu Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Ninatumia Huawei Y 300 nilinunua Tigo sasa huku niliko mtandao uko down sana natamani kutumia mtandao mwingine inagoma. Msaada

Hi unaweza kwa urahisi kufungua huawei yako y300 kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Prounlocking.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua huawei yako y300 Mkono urahisi.
 
Back
Top Bottom