Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

hivi mods wameunganisha hii thread au ni vipi? nimetafuta attachment ya gkiwango lakini siioni.. lile folder kuna hiki kipande sina "E1731Update_11.126.15.00.00.B 416" . mwene nacho anisaidie.. @Mwl.RCT

 
hivi mods wameunganisha hii thread au ni vipi? nimetafuta attachment ya gkiwango lakini siioni.. lile folder kuna hiki kipande sina "E1731Update_11.126.15.00.00.B 416" . mwene nacho anisaidie.. @Mwl.RCT

Almost Everything in this thread may not be useful sababu tool ya Huawei Flasher ilotumika hapa haiko functional tena
Hivo basi nenda Google tafuta hiyo Firmware ya E173 na kisha pakua Huawei Flasher 1.6 na itumie hiyo ku unlock modem

Jinsi ya kutumia hii Huawei flasher 1.6 tafuta thread ya wickerman "Jinsi ya ku unlock huawei E303 za Vodacom"
Hii tool inaitaji similar procedure kama za hapo

All the best
 
Last edited by a moderator:

nimefanikiwa mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Mi nataka ku unlock huawei E303 msaada ?
E303 zipo categories nyingi na kila moja ina style yake

E303s-1 tafuta thread humu Jf ya Kimox Kimokole
E303s-1 Hi link(Inafungukia kwa browser) Tafuta Google docs ya gkiwango humu JF
E303h-1 MPya za Tigo ina trick yake ya Mwalimu RCT
E303h-1 Hi link modem za Airtel za karibuni pia na hii haina ujanja mpaka sasa

Je,yako ni ipi labda tukusaidie ku locate hizo thread
 
Last edited by a moderator:

Ahsante bro , mimi nina HILINK ya vodacom E303 huawei
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nahtaji firmware ya Huawe e173 , attachment za g Kiwango nshndwa kuzipata maana uzi wake siuono kila nikitafuta
 
Hii Huawei Modem Flasher unaipata wapi au unaweza kuidownload wapi naona hapo ndio kitendawili kwangu


Then Fungua Huawei Modem Flasher, Ifungue na angalia kushoto kwako na chagua COM port ya Modem yako, ushofu utaona COM port ni tofauti but utaona imeandikwa "3G PC UI interface"
Then Click Read Modem Info Tab. Itasoma modem information na itasema OK ikimaliza, kama itaandika FAIL r
S

[/QUOTE]
 
Zile thread za Gkiwango naona zilifutwa yakupasa kutumia Google sasa

by the way bado kuna watu wanatumia hizi modem🙂,just asking?
 
Zile thread za Gkiwango naona zilifutwa yakupasa kutumia Google sasa

by the way bado kuna watu wanatumia hizi modem🙂,just asking?
Watu wanatumia mkuu..
Na njia za ku unlock n mtihani
Tumia Core i3-7 labda...au PC yenye RAM kuanzia 4GB
Mm nikitumia kwenye PC ya 2GB RAM inter inside processor ina stuck hivo lkn nikiiweka kwenye core i7 8GB RAM inaenda smoothly
 
mkuu we ilikubali vipi maana mm najaribu inasema no phone natumia windows 7 na net kwenye computer ipo
 
hii vcredist x86.exe ina siri gani aisee,kuna program ilizingua sana kuinstall kwa pc nikaweka iyo ndo ikakubali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…