yantuzu
Senior Member
- Dec 10, 2011
- 115
- 16
Poleni na majukumu wakuu. Naombeni kama kuna mwenye ujuzi wa kufungua (unlock) simu ya Huawei "Ascend y300" anisaidie maana inanitesa kweli haikubali line.zingine.zaidi ya Tigo, nikisafiri kwenda sehemu zisizo na na huu mtandao nakuwa sipatikani hewani.
Asante.
Asante.