Wadau computer yangu ilikuja na window 8 toka kiwandani sasa nataka kuibadilisha lakini inanisumbua haitaki kutoka, inawaka na kuonesha kwa kuna error wakati wa kuwaka na inaishia hapo haiendelei inataka nifanye recovery lakini nibonyeza key iliyonielekeza hakuna kitu kinaendelea, na baada ya muda mfupi inazima yenyewe. Naombeni msaada wadau
Kaka why uharibu windows yako genuine na kueka windows ya wizi? Windows 10 inakuja anytime ipo kama 7 uta upgrade bureee na win 8 yako. Ila ukieka 7 utaendelea na wizi hadi 10.
Kama huipendi hio start screen mpya na hizo tiles zipo njia za kutoa kuifanya iwe kama win 7
. Japo kwetu hatuna sheria ila nchi za wenzetu ukiuziwa laptop ya dos/linux unarudishiwa na hela kidogo ambayo ilikuwa ni ya licence ya windows.Sio kila computer inayokuja na windows imetoka nayo kiwandani na ni genuine, hizo windows wengi wanaziwekea hapa bongo. Unakuta laptop ina sticker ya linux lakini ina windows kwamba ilitoka kiwandani na linux. Mimi nimenunua laptops brand new mara nyingi na zinakuja na win 7 or 8. Lakini ukilogwa ukaInstall WGA update basi inashikwa, nikienda kuwauliza walioniuzia wanasema wao wanayo windows ya multi user. Na wenyewe ni wakala mkubwa wa dell,hp,toshiba,lenovo,apple etc.
. Japo kwetu hatuna sheria ila nchi za wenzetu ukiuziwa laptop ya dos/linux unarudishiwa na hela kidogo ambayo ilikuwa ni ya licence ya windows.
Hawa wafanya biashara wananunua laptop za dos na kueka windows fake. Mara mia wangekua hata wanapunguza hio bei, ila wanauza sawa sawa na pc yenye windows.
Wadau computer yangu ilikuja na window 8 toka kiwandani sasa nataka kuibadilisha lakini inanisumbua haitaki kutoka, inawaka na kuonesha kwa kuna error wakati wa kuwaka na inaishia hapo haiendelei inataka nifanye recovery lakini nibonyeza key iliyonielekeza hakuna kitu kinaendelea, na baada ya muda mfupi inazima yenyewe. Naombeni msaada wadau
Nimeshazifanya sana installation za window ila hii imenitoa jasho, mara ya kwanza ilikuwa ina install inafika sehem inatoa error code halafu inagoma kuendelea.
Chief-Mkwawa
Samahan mkuu nimedandia thread, naomba muongozo wa kutoa hii start screen na tiles kwenye win 8 kuifanya iwe kama win 7 tafadhali